February 28, 2023Kiswahili Elementary Level
CLUSTER I: Kiswahili Elementary Level
Course Objectives
This course intends to provide basic knowledge on Kiswahili grammar, which helps the learner to use simple Kiswahili phrases in day-to-day communication. At the end of this course, the student will be able to communicate using simple phrases in Kiswahili in various contexts. Also, the student will understand some Swahili cultural aspects.
Course Descriptions
This course introduces the basics of Kiswahili grammar and its uses in various contexts for simple communication in Kiswahili. It also provides some cultural aspects according to specific contexts introduced.
Delivery: 40 hours (20 hours for lectures and 20 hours for discussions)
Module 1: Sauti, silabi na matamshi ya lugha ya Kiswahili
- Matamshi ya irabu za Kiswahili
- Matamshi ya konsonanti za Kiswahili
- Uundaji wa silabi za Kiswahili
- Kutumia maneno katika kujifunza silabi za Kiswahili
- Ruwaza ya mkazo katika Kiswahili
Module 2: Salamu
2.1 Kuanzisha salamu
2.2 Kupokea salamu
2.3 Salamu miongoni mwa rika tofauti
2.4 Utamaduni unaoambatana na salamu
2.5 Aina mbalimbali za salamu (salamu rasmi na zisizo rasmi)
2.6 Viwakilishi vya nafsi (mimi/sisi, wewe/ninyi, yeye/wao)
Module 3: Utambulisho
3.1 Kujitambulisha mwenyewe (jina, uraia, makazi na kazi)
3.2 Kutambulisha rafiki (jina, uraia, makazi na kazi)
3.3 Kutambulisha wengine (jina, uraia, makazi na kazi)
3.4 Kitenzi kuwa (verb to be) wakati uliopo (mfano: Mimi ni mwalimu)
3.5 Wakati uliopo -na- (Ninatoka)
3.6 Viambishi vya nafsi
3.7 Ngeli ya m/wa
Module 4: Familia
- Dhana ya familia kwa muktadha wa Kiafrika
- Wanafamilia
- Namba
- Vimilikishi vya ngeli ya m/wa
- Vivumishi vya m/wa
- Vivumishi vya sifa vya m/wa
- Vivumishi vya idadi vya m/wa
- Vibainishi vya m/wa (huyu, huyo, yule) umoja na wingi
- Wakati uliopita na wakati ujao
- Vielezi vya wakati uliopita
- Kitenzi kuwa na (verb to have) (wakati uliopo) (mfano: Nilikuwa na watoto wawili)
Module 5: Shughuli za kila siku
- Msamiati mpya
- Muda/saa
- Hali ya mazoea
- Kiambishi cha hali ya mazoea
- Vielezi vya hali ya mazoea
- Ukanushi wakati uliopo
- Ngeli ya m/mi
- Kiambishi cha mahali -ni
- Vivumishi vya ngeli ya m/mi
- Vimilikishi vya ngeli ya m/mi
- Vibainishi vya ngeli m/mi (huu, huo, ule) umoja na wingi
Module 6: Maisha Yangu
- Siku za juma
- Miezi
- Viulizi (mfano: nani, wapi, kwa nini, lini, mbona)
- Kitenzi kuwa (verb to be) wakati uliopita na ujao (Mfano: Nilikuwa Nitakuwa mwalimu)
- Ngeli ya n/n
- Vivumishi vya sifa na idadi vya ngeli ya n/n
- Vimilikishi vya ngeli ya n/n
- Vibainishi vya ngeli ya n/n (hii, hiyo, ile) umoja na wingi
Module 7: Mgahawani
- Kuuliza vyakula/vinywaji vilivyopo
- Kuuliza bei
- Kuagiza na kulipa
- Ukanushi wakati uliopita na ujao
- Ngeli ya ki/vi
- Vivumishi vya sifa na idadi vya ngeli ya ki/vi
- Vimilikishi vya ngeli ya ki/vi
- Vibainishi vya ngeli ya ki/vi
Module 8: Kununua vitu sokoni
- Kuuliza bei za vitu mbalimbali sokoni
- Kuomba punguzo
- Ngeli ya ji/ma
- Vivumishi vya sifa na idadi vya ngeli ya ji/ma
- Vimilikishi vya ngeli ya ji/ma
- Tungo agizi
- Vitenzi vyenye silabi zaidi ya moja
- Vitenzi vyenye silabi moja
- Vitenzi vya mkopo
- Vitenzi ghairi
Module 9: Usafiri jijini Dar es Salaam
9.1 Msamiati muhimu
9.2 Kuuliza nauli, kuuliza mahali anapokwenda
9.3 Viambishi vya masharti, ngeli, ngali, nge
9.4 Ngeli ya ku (ku-nominishi, kusafiri kwake)
9.5 Vivumishi vya sifa vya ngeli ya ku
9.6 Umilikishi katikia ngeli ya ku